Vijana 350 wakutana Dar kujadili tatizo la ajira

Baadhi ya wahitimu wa moja ya chuo nchini, ambao wengi wao huwaza kuajiriwa baada ya masomo.

Zaidi ya vijana 350 wamekutana jijini Dar es Salaam kutoa mapendekezo yatakayo tumika katika nchi za Afrika pamoja na kwa watunga sera na wadau mbalimbali wa maendeleo katika kutatua changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana na kujiendeleza kiuchumi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS