TRA yaendelea na zoezi la uhakiki wa TIN
Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imeendelea na zoezi la uhakiki wa wamiliki wa namba za utambulisho wa mlipa kodi (TIN) na kusisitiza kuwa zoezi hilo linafanyika bure na kwamba wamiliki wake hawatakiwi kulipia gharama yoyote.