Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela, akiwa katika kipindi cha HOT MIX
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela amesema katika utumishi wake kwa wananchi hana mbwembwe kama baadhi ya watu wanavyodai bali anafanya kutokana na hali halisi na eneo husika.