Dkt. Tulia aitaka UNDP kutoa mafunzo ya bajeti
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson amelishauri shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP, kuangalia upya utaratibu mpya wa namna wa kupanga bajeti, na utekelezaji wake ili kupunguza mvutano katika mchakato wa kupitisha bajeti