Watoto 70 wakeketwa ndani ya mwezi Januari Mara Jumla ya watoto 70 waliokuwa wamehifadhiwa katika kituo cha nyumba salama cha ATFGM kukwepa ukeketaji wamekeketwa ndani ya mwezi Januari baada tu ya kurudishwa nyumbani kwao Read more about Watoto 70 wakeketwa ndani ya mwezi Januari Mara