Rais Ruto afichua njama za kumteka Chebukati

Rais wa Kenya William Ruto amesema katika uchaguzi uliomalizika mwaka jana 2022 kulikuwa na njama za moja kwa moja za kutaka kumteka nyara na kumuua mkuu wa tume ya uchaguzi Wafula Chebukati 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS