Rais Samia awashauri mabalozi kuhamia Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Sherehe za mwaka Mpya 2023 kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 13 Januari, 2023 Read more about Rais Samia awashauri mabalozi kuhamia Dodoma