Watakaokwamisha huduma ya maji Tanga waonywa

Waziri wa maji Jumaa Aweso amesema hatosita kuwachukulia hatua watendaji wa mamlaka ya majisafi na usafi wa Mazingira jijini Tanga watakaobainika wanakwamisha upatikanaji wa huduma ya maji katika jiji la Tanga na mji wa Muheza jambo lililopekea ukosefu wa maji kwa siku 4 mfululizo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS