Urusi yafanya ziara Afrika Kusini

Serikali ya Afrika Kusini imesambaza picha na video za ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov, ambapo amekutana na mwenzake wa Afrika Kusini Naeldi Pandor mjini Pretoria

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS