TAKUKURU watakiwa kutowatisha wananchi

Baadhi ya madiwani wa manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wameiasa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa - TAKUKURU - mkoani humo kuweka mazingira ambayo yatawawezesha kuwa rafiki wa wananchi, badala ya kuwafanya wananchi kuogopa kufika katika ofisi zao kutoa kero zinazowakabili

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS