Gunze kujinyonga kisa Iphone haijathibitishwa
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP Simon Maigwa, amesema wao wanachojua mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi alijinyonga kutokana na msongo wa mawazo, hivyo hayo masuala ya kwamba alimpa Iphone 14 mpenzi wake ni maneno tu na hayajathibitishwa.