IGP Wambura ataka mabadiliko haya
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura, amewataka watendaji wa mtandao wa polisi wanawake nchini (TPF- NET) kuonyesha mabadiliko ya kiutendaji hususani kwenye suala la uongozi katika kutekeleza majukumu mbalimbali ya kazi za kipolisi.