Watu 57 wanusurika ajalini Morogoro
Watu 57 wamenusurila kifo katika ajali iliyotokea barabara kuu ya Morogoro - Dar es-salaam baada ya gari ya abiria kampuni ya Al-Seady lililokua linatoka Kilosa kuelekea Dar es Salaam kupinduka eneo la Kitungwa Manispaa ya Morogoro