Wananchi watakiwa kupima afya mara kwa mara Tatizo la wananchi kutopima magonjwa mbalimbali limekuwa likisababisha baadhi ya damu inayokusanywa kukutwa na maambukizi ya magonjwa, ikiwamo homa ya ini. Read more about Wananchi watakiwa kupima afya mara kwa mara