Waziri Gwajima awataka wanawake kujiamini
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake, na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amewataka wanawake nchini kujiamini na kutoka mbele kupaza sauti zao ili kukabiliana na wimbi la vitendo vya ukatili vinavyowakabili