Uhamiaji yawaondoa Tanzania raia 2 wa kigeni
Kupitia taarifa yake kwa umma iliyoitoa leo, Oktoba 14 Idara hiyo imewataja raia hao kuwa ni Dkt. Brinkel Stefanie na Bi. Catherine Jannel Almquist Kinokfu na kuongeza kuwa wameondolewa nchini jana Oktoba 13, 2025.

