Herminie kutoka upinzani ashinda urais Shelisheli Kinyang'anyiro kati ya wagombea wawili wakuu katika uchaguzi wa Ushelisheli kiliamuliwa katika duru ya pili baada ya kukosekana mshindi wa moja kwa moja katika kura ya urais wiki mbili zilizopita. Read more about Herminie kutoka upinzani ashinda urais Shelisheli