Chalamila apongeza mageuzi ya elimu shule ya Monti
Amesema Serikali inawatia moyo wawekezaji binafsi kwenye elimu kuanzisha shule ili kuiunga mkono serikali kwenye suala la utoaji elimu na haizuii anayetaka kuanzisha shule ya msingi na sekondari kwani ujuzi na maarifa ni kitu muhimu.

