Matokeo kidato cha pili, darasa la nne haya hapa

Matokeo ya darasa la nne nchini yametangazwa ambapo Jumla ya wanafunzi 1,320,700 kati ya 1, 592, 235 wenye matokeo sawa na asilimia 82.95 wamefaulu mitihani upimaji wa kitaifa wa darasa la nne kwa kupata madaraja A, B, C D.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS