Amzika mtoto wake akiwa hai ili apate utajiri

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Zawadi Msagaja mkazi wa Kijiji cha Mahaha wilayani Magu aliyemzika mtoto wake akiwa hai kwa kile kinachoelezwa kuwa aliamriwa na shemeji yake ambae ni mganga wa kienyeji amtoe kafara mtoto huyo mwenye umri wa miezi miwili ili apate utajiri

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS