RUWASA yaagiza mradi mkubwa wa maji Ludewa
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Maji na Usafi wa mazingira Vijijini (RUWASA) Mhandisi Clement Kivegalo amemuagiza Meneja wa Ruwasa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kuandaa mradi mkubwa wa usambazaji maji ambao utatekelezwa katika bajeti ijayo