Wavuvi walioshiriki ajali ya ndege wapewa mafunzo
Wavuvi 70 wakiwemo walioshiriki kuokoa watu kwenye ajali ya ndege iliyozama ziwa Victoria Novemba 06/2022 wameanza kupatiwa mafunzo maalumu ya ukoaji kutoka idara ya maafa ofisi ya Waziri Mkuu, lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wa kushiriki uokoaji pindi zitakapotokea ajali