Serikali kuwasaka wanaokata miti ovyo. Mkuu wa mkoa wa Pwani , Abubakari Kunenge Serikali Mkoani Pwani, imeagiza wavunaji holela wa mazao ya misitu wanaovuna bila kufuata sheria kwenye hifadhi za Misitu na vyanzo vya maji waondoke mara moja katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Read more about Serikali kuwasaka wanaokata miti ovyo.