Mazao ya misitu yaongezewe thamani Ruvuma. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Madaba kutenga maeneo ya kujenga viwanda vya kuongeza thamani ya mazao ya miti. Read more about Mazao ya misitu yaongezewe thamani Ruvuma.