Vituo vyakosa mafuta, Bodaboda wauza 4500 kwa lita
Bodaboda wakiuza petroli kwenye vidumu
Bodaboda wilayani Kiteto mkoani Manyara, wamelazimika kuacha kazi yao na kuanza kuuza petroli, baada ya mji huo kukosa nishati hiyo licha ya kuwepo kwa vituo vya mafuta ambavyo kwa sasa havina.