Wanafunzi 489 wahitimu chuo cha kodi.
Mamlaka ya mapato nchini Tanzania TRA kupitia chuo chake cha kodi imewataka wahitimu waliomaliza kozi mbalimbali za kikodi katika Mahafali ya 15 kwenda kuzingatia elimu ya Kodi ili kupunguza uhitaji wa watalaam uliopo serikalini na sekta binafsi.