Simba na Mbeya city zagawana alama sokoine Dakika 90 za mechi ya Mbeya City imemalizika kwa timu hizo kutoa sare ya bao 1-1 huku mabao ya Mzamiru Yassin (Simba) na Tariq Seif yakitosha kumaliza mtanange huo. Read more about Simba na Mbeya city zagawana alama sokoine