Mfanyabiashara akutwa amefariki Jijini Arusha
WATU wawili wamefariki dunia, akiwemo mfanyabiashara mmoja maarufuc jijini Arusha, aliyefia kwenya Klabu ya wafanyakazi wa benki Kuu ,BOT, tawi la Arusha, na mwingine ambae hajafahamika, aliokotwa akiwa amesokomezwa mtaroni.