Zanzibar, MOICT mabingwa netball Afrika Mashariki
Michuano ya netball ya Afrika ya Mashariki imemalizika Zanzibar huku timu ya wenyeji Polisi ya Zanzibar ikitwaa Ubingwa kwa upande wa wanaume baada ya kuwafunga wenzao wa JKU pia ya Zanzibar kwa mabao 38-34 katika mechi ya vuta nikuvute.