Watanzania watakiwa kuwekeza nishati mbadala.
Watanzania wametakiwa kuanza sasa kuwekeza katika Nishati mbadala itokanayo na Uchafu pamoja na Takataka ili kujikomboa na Upungufu wa Nishati nchini ili kuuza umeme huo kwa wamiliki wa viwanda nchini na kwa watu binafsi na kujipatia kipato.