Netball Afrika Mashariki watakiwa kushindana
Timu shiriki za michuano ya Mpira wa Netball ya Afrika Mashariki kutoka nchini Tanzania zimetakiwa kuwekeza katika uzalendo na kuungana ili kuweza kufanya vizuri katika michuano hiyo inayotarajiwa kuanza kutrimua vumbi Machi 14 mwaka huu Zanzibar.