Wananchi watakiwa kuwafichua wanyanyasaji wa Jinsi
MKUU wa Dawati la Jinsia na Watoto Tanzania na Naibu Kamishna wa Polisi, Adolfina Chialo, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye dawati la jinsia zilizopo kwenye vituo vya Polisi na kufichua wanyanyasaji wa ukatili wa kijinsia.