Matumla kupambana na Bondia kutoka China Machi 27
Pambano la kimataifa kati ya Bondia kutoka Tanzania Mohamed Matumla na Bondia kutoka China Wang Xin Hua linatarajia kufanyika Machi 27 mwaka huu Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam ambalo litarushwa moja kwa moja na kituo cha East Africa.