Serikali yatakiwa kuboresha kilimo cha Umwagiliaji
Wakulima wa mazao ya mbogamboga nchini wameshauri serikali na taasisi za utafiti wa kilimo,kuweka mkazo matumizi ya teknolojia ya umwangiliaji kwa njia ya matone,ili kuepuka kilimo cha kutegemea misimu ya mvua ili kuepuka mabadiliko ya tabia nchi.