Lecornu ajiuzulu uwaziri mkuu Ufaransa
Lecornu, ambaye alikuwa waziri mkuu wa tano wa Macron katika kipindi cha miaka miwili, amefanya kazi kwa siku 27 pekee. Serikali yake ilidumu kwa saa 14, na kuifanya kuwa ya muda mfupi zaidi katika historia ya Ufaransa.

