Kundi la 17 laondoka Ngorongoro Kundi la 17 lenye jumla ya kaya 34 na watu 179 pamoja na Mifugo 625 leo Januari 12 limeondoka rasmi kutoka eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuelekea kijiji cha Msomera kilichopo wilayani Handeni mkoani Tanga Read more about Kundi la 17 laondoka Ngorongoro