Mvua yaleta maafa Nepal Mvua kubwa imesababisha maporomoko ya ardhi na mafuriko yaliyofunga barabara, kusomba madaraja na kuua watu wasiopungua 47 tangu Ijumaa nchini Nepal, maafisa walisema siku ya Jumapili. Read more about Mvua yaleta maafa Nepal