Mtoto aliyepotea apatikana akiwa amefariki
Rashid Lugwisha, Daktari kutoka hospitali ya Manispaa ya Geita pamoja na Jeshi la polisi walifika eneo la tukio na kuruhusu ndugu na jamii kuendelea na taratibu za maziko kutokana na mwili wa marehemu kuharibika vibaya huku wakiendelea na uchunguzi kuwatafuta waliousika na kifo chake.

