Madereva bajaj walia kituo cha Mwenge kuhamishwa

Madereva wa bajaji wa kilichokuwa kituo cha mabasi Mwenge jijini Dar es salaam nchini Tanzania wamelalamikia ukosefu wa abiria na kupungua kwa upatikanaji wa kipato chao cha siku kufuatia kuhamishwa kwa kituo hicho.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS