Polisi yaja na kampeni mpya dhidi ya uhalifu
Jeshi la polisi nchini Tanzania limezindua kampeni ya kuzuia uhalifu iliyopewa jina la “sote kwa pamoja tunaweza kukataa uhalifu” ili kukabiliana na uhalifu wa kimataifa unaohusisha wahalifu kutoka nchi zaidi ya moja.