Fidia kwa wakazi wa Chasimba bado kizungumkuti
Wakazi kutoka zaidi ya kaya 4,000 katika eneo la Chasimba kata ya Bunju manispaa ya Kinondoni jijini Dar-es-Salaam, bado hawajui hatma ya makazi yao, licha ya serikali kuingilia kati mgogoro kati ya kiwanda cha saruji cha Wazo Hill na wananchi hao.