Tunashughulikia changamoto za elimu - Pinda
Serikali ya Tanzania imesema inafanya juhudi za kukabiliana na changamoto mbalimbali zilizopo katika sekta ya elimu, ili kukidhi mahitaji muhimu ya wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari ikiwa ni pamoja na kutatua tatizo la upungufu wa madawati.