Hatimaye Wanafunzi DIT waruhusiwa kufanya mitihani
Waziri wa sayansi na teknolojia, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa.
Wanafunzi wa taasisi ya Teknolojia (DIT) ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania wameruhusiwa kufanya mitihani baada ya mgomo wao uliodumu kwa siku mbili mfululizo.