Waziri wa afya na ustawi wa jamii nchini Tanzania, Dkt Seif Rashid. Wizara yake ndiyo yenye jukumu la kutoa huduma kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira hatarishi.
Watoto 49,829 wanaoishi katika mazingira hatarishi na hatari nchini Tanzania ni asilimia 13.3 tu ya watoto hao ndio wako katika mkoa wa Dodoma.