Alpha aamua kumtukuza Mungu Alpha akipozi mbele ya camera Akiwa amepotea kwa muda mrefu katika gemu kiasi cha mashabiki wake kujiuliza maswali mengi msanii Alpha Rwirangira ameelezea kuwa hivi sasa amerudi katika gemu akiimba zaidi nyimbo za kumtukuza Mungu. Read more about Alpha aamua kumtukuza Mungu