TFDA yatoa mafunzo kwa wajasiriamali
Zaidi ya wajasiriamali mia moja kutoka maeneo mbalimbali nchini Tanzania wanaofanya shughuli za kuzalisha bidhaa za chakula wamepewa mafunzo ya usalama wa chakula na bidhaa nyinginezo wanazozalisha ili kulinda afya na maisha ya watumiaji.