Lukuvi ajitetea kashfa ya kuomba fedha LAPF

Waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, sera, uratibu na bunge, mhe. William Lukuvi.

Waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, sera, uratibu na bunge, William Lukuvi, amelazimika kutoa maelezo baada ya baadhi ya wabunge wa CCM na mbunge wa Chadema Tundu Lissu, kumtuhumu kuwa aliomba fedha kutoka kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii LAPF.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS