MOI yafurika wagonjwa ajali za pikipiki
Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) imesema idadi ya wagonjwa wanaopokelewa kutokana na ajali za barabarani hasa zile za piki piki maarufu kama bodaboda na Bajaj zinaongezeka kwa kasi ambapo kwa wastani kwa siku wanapokea wagonjwa kati ya 5 na 20.