Mwenge kuibua miradi ya bil 106 Mbeya
Jumla ya miradi 106 yenye thamani ya fedha za Tanzania Shilingi Bilioni 15.4 itatembelewa na mbio za Mwenge mkoani Mbeya mwaka huu, kati ya hiyo hamsini itazinduliwa na mingine kuwekewa mawe ya msingi na baadhi yake kukabidhiwa kwa walengwa.