Mil 500 hupotoea kwa kuagiza virutubisho-Serikali

Matunda pamoja na mboga mboga pichani hapo juu, ni sehemu tu ya virutubisho muhimu vinavyohitajika kwa ajili ya afya na ukuaji wa watoto na akina mama wajawazito.

Serikali imedaiwa kupoteza dola za kimarekani Mil. 581 kila mwaka kutokana na ununuzi wa virutubisho vya madini kwa watoto chini ya miaka mitano pamoja na wanawake nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS